Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri Toeni taarifa na takwimu sahihi za elimu.Mh. Lusinde.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde amewataka Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji wa taarifa na takwimu sahihi za elimu ili kuboresha usimamizi wa elimu. Akizungumza hayo jana Jijini Arusha wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Umoja wa Maafisaelimu wa